Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mkoani Kilimanjaro
Bi. Rose Ambros, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji amefanya Ziara Mkoani Kilimanjaro na kutembelea Mradi wa Mwanga - Same - Korogwe pamoja na kuzungumza na Menejimenti za Sekta ya maji Mkoani Kilimanjaro.
