Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi(muwsa)

MUWSA Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) inapokea na kushughulikia malalamiko kuhusu utoaji wa huduma. Mteja anaweza kuwasilisha malalamiko yake kwa kutumia njia zifuatazo:- i.    Kufika Ofisi za Huduma kwa Wateja (MUWSA). ii.    Kuandika barua pe...
Huduma kwa Mteja inapatikana kwanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 04:00 usiku,kila siku za kazi Na siku za sikuku pamoja na wikiendi huduma zinapatikana kwanzia saa 02:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni
Kuchukua fomu kwa mwenyekiti wa kijiji/mtaa husika unaambatanisha vifuatavyo 1. Hati ya nyumba/kiwanja 2. Picha ndogo(Passport size) 3. kitambulisho cha Nida
Wateja watatumiwa ankara kila mwezi na wanaweza kufanya malipo kwa njia ya benki kwa benki washiriki wa NMB,NBC, AZANIA Bank, CRDB Bank, Stanbic Bank na ABSA, Wateja wanaweza kutumia simu za kiganjani kufanya malipo kwa mitandao ya M-pesa, Tigo-pesa, Airtel Money, TTCL- Pesa na Halo-Pesa. Mamlaka h...
Ndani ya siku 7 za kazi baada ya kukamisha malipo