Recent News and Updates

MUWSA Mshindi wa Maji Cup League 2022 katika mchezo wa Mpira wa Miguu na Mpira wa Pete.

Maji Cup League 2022.Matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 2 - 0 PANGANI BASINMatokeo ya mchezo wa netball uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 26 - 12 NJORO UNITED Read More

Kiongozi mbio za Mwenge kitaifa aipongeza Muwsa ufungaji wa dira za malipo ya kabla

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma amepongeza MUWSA kwa kufunga dira za malipo ya kabla eneo la police line. Read More

Kiongozi mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa aipongeza Muwsa mradi wa maji Njiapanda

Moshi.Zaidi ya wananchi 13,734 wa kata ya njia panda na maeneo jirani, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanatarajia kuondokana na adha ya maji safi na salama inayowakabili, baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wa… Read More