Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi(muwsa)

MUWSA Logo
Je huduma kwa mteja inapatikana kwa saa ngapi kwa siku za kazi?

Huduma kwa Mteja inapatikana kwanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 04:00 usiku,kila siku za kazi

Na siku za sikuku pamoja na wikiendi huduma zinapatikana kwanzia saa 02:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni