UJIO WA NAIBU WAZIRI WA MAJI
08 Jun, 2026
03:00 Asubuhi
Viwanja vya MUWSA
Kundo, kundo.andrew@gmail.com
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Maji Kundo Andrew Mathew anatarajia kufika Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumapili tarehe 08/06/2026 lengo ikiwa ni kukagua Miradi ya maji pamoja na kufanya kikao cha Kisekta na Watumishi wote waliopo Chini ya Wizara ya maji.
Nyote mnakaribishwa
