Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi(muwsa)

MUWSA Logo
Utaratibu wa kuungiwa huduma ya majisafi kwa mteja mpya

Kuchukua fomu kwa mwenyekiti wa kijiji/mtaa husika unaambatanisha vifuatavyo

1. Hati ya nyumba/kiwanja

2. Picha ndogo(Passport size)

3. kitambulisho cha Nida