Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi(muwsa)

MUWSA Logo
Karibu

Karibu kwenye tovuti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), Kupitia tovuti hii utapata taarifa za uhakika juu ya shughuli za Usambazaji na Usafi wa Mazingira katika Mji wa Moshi Manispaa pamoja na Kata kumi na mbili za Halmashauri ya Moshi.