Recent News and Updates

MUWSA YANG’ARA TUZO ZA NBAA

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) imeitunuku MUWSA Tuzo ya Uandaaji Bora wa taarifa za kifedha yaani Best Presented Financial Statements kwa mwaka 2021/22.Tuzo hii imetolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa… Read More

Ziara ya Mhe.Mbunge pamoja na Madiwani wa Manispaa ya Moshi katika Ofisi za MUWSA

Mbunge wa Manispaa ya Moshi Mhe. Priscus Tarimo akiwa ameambatana na madiwani wa Manispaa ya Moshi wamefanya ziara kwenye Ofisi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi.Ziara hiyo iliyolenga kuwapa elimu pamoja na… Read More