Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira Moshi (MUWSA)inawataarifu wateja wake juu ya mabadiliko ya usomaji wa dira za maji.Endapo Mteja atapata changamoto yoyote tunaomba asisite kuwasiliana nasi kupitia nambari : 0800110074