Media Centre

Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa atembelea uongozi wa chama cha TUGHE tawi la MUWSA pamoja na Menejimenti

Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa Ndugu Rugemalila Rutatina afanya ziara kwenye Ofisi ya chama ha wafanyakazi tawi la TUGHE MUWSA  na kufanya mazungumzo na uongozi wa chama pamoja na Menejimenti ya MUWSA.

Read More

MUWSA MSHINDI WA PILI TUZO ZA EWURA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya Maji na mwaka huu ikibeba kaulimbiu:  Uhakika wa Maji kwa Amani na Utulivu ambapo Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati ikizindua rasmi Taarifa ya Utendaji kazi…

Read More