News and Events

Sensa kwa Maendeleo ya Taifa Letu

“Sisi wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) tunaungana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kushiriki sensa ya watu na makazi tarehe 23…

Read More

Mhandisi Kija Limbe Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi

“Niwashukuru sana wananchi wa mji wa Moshi, wamekuwa waungwana sana kwa kutoa taarifa kunapokuwa na tatizo wanatoa taarifa na wanalipa bili kwa wakati.”Sensa ya Watu na Makazi tarehe 23 Agosti, 2022 ni…

Read More

MUWSA Mshindi wa Maji Cup League 2022 katika mchezo wa Mpira wa Miguu na Mpira wa Pete.

Maji Cup League 2022.Matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 2 - 0 PANGANI BASINMatokeo ya mchezo wa netball uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 26 - 12 NJORO UNITED

Read More

Ufunguzi wa Mashindano ya Maji Cup Kanda ya Kilimanjaro

Maji Cup League 2022.Ligi ya Maji inaendelea kutimua vumbi kwa Kanda ya kaskazini ambapo asubuhi ya Leo Mkurugenzi Mkuu wa ATAWAS ambaye pia ndio mratibu mkuu wa mashindano haya akiwa katika picha na baadhi ya…

Read More

Kiongozi mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa aipongeza Muwsa mradi wa maji Njiapanda

Moshi.Zaidi ya wananchi 13,734 wa kata ya njia panda na maeneo jirani, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanatarajia kuondokana na adha ya maji safi na salama inayowakabili, baada ya kukamilika kwa mradi…

Read More

Kiongozi mbio za Mwenge aipongeza Muwsa ufungaji wa dira za malipo ya kabla

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma amepongeza MUWSA kwa kufunga dira za malipo ya kabla eneo la police line.

Read More

Kiongozi mbio za Mwenge aipongeza Muwsa mradi wa maji Njiapanda

Moshi.Zaidi ya wananchi 13,734 wa kata ya njia panda na maeneo jirani, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanatarajia kuondokana na adha ya maji safi na salama inayowakabili, baada ya kukamilika kwa mradi…

Read More

UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJISAFI MIWALENI

Mhandisi Kija Limbe amewahakikishia mradi wa majisafi wa Miwaleni - Njiapanda unaenda kufuta tatizo la majisafi kwa wakazi wa njiapanda, aidha amewaomba viongozi kuwa na subiria wakati wa kipindi Cha mpito na…

Read More