Announcements

Dawati La Habari La MUWSA Leo June 25, 2023

Habari za wakati huu mpenzi mtazamaji wa dawati la habari kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Wa Mazingira Moshi MUWSA na nikukaribishe katika wasaa huu kupata machache yaliyojiri katika Mamlaka yetu wiki…

Read More

Dawati La Habari La MUWSA Leo Mei 6, 2023

Habari za wakati huu mpenzi mtazamaji wa dawati la habari kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Wa Mazingira Moshi MUWSA na nikukaribishe katika wasaa huu kupata machache yaliyojiri katika Mamlaka yetu wiki…

Read More

Dawati La Habari La MUWSA Leo Aprili 30, 2023

Habari za wakati huu mpenzi mtazamaji wa dawati la habari kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Wa Mazingira Moshi MUWSA na nikukaribishe katika wasaa huu kupata machache yaliyojiri katika Mamlaka yetu wiki…

Read More

Dawati La Habari La MUWSA Leo Machi 30, 2023

Habari za wakati huu mpenzi mtazamaji wa dawati la habari kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Wa Mazingira Moshi MUWSA na nikukaribishe katika wasaa huu kupata machache yaliyojiri katika Mamlaka yetu wiki…

Read More

Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso Azinduzi Bodi ya nane ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA)

Mheshimiwa Jumaa Aweso amewaonya maofisa watumishi kuacha kuwa miungu watu ofisini na badala yake kutumia dhamana waliyopewa kutatua changamoto zinazowakabili watumishi ili kuwawezesha kutekeleza vyema…

Read More

Muwsa yamaliza kero ya maji Njiapanda

Wajumbe wa kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi, Moshi vijijini,wakifungulia maji wakati walipotembelea kukagua mradi wa maji wa Miwaleni-Njiapanda ambapo umekamilika kwa asilimia 100

Read More

Salamu za Pongezi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji

Hongera Mhandisi Nadhifa Kemikimba kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza Wizara ya Maji. Tunaahidi kutoa ushirikiano katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

Read More

Salamu za Pongezi kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji

Hongera Mhandisi Cyprian Luhemeja kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza Wizara ya Maji. Tunaahidi kutoa ushirikiano katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

Read More