Mradi huu wa Majisafi unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi September 2022 na utakwenda kuhudumua wakazi wa Njiapanda.