Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma amepongeza MUWSA kwa kufunga dira za malipo ya kabla eneo la police line.