RC Kilimanjaro awataka wananchi kutunza vyanzo vya maji
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amewataka wananchi kuacha kufanya shughuli zozote zinazosababisha uchafuzi na uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vilivyopo katika maeneo mbalimbali…
Read More