Media Centre » Announcements

Dawati La Habari La MUWSA Leo Machi 30, 2023

Habari za wakati huu mpenzi mtazamaji wa dawati la habari kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Wa Mazingira Moshi MUWSA na nikukaribishe katika wasaa huu kupata machache yaliyojiri katika Mamlaka yetu wiki hii.

Kwa Taarifa zaidi na kupata habari nzima tafadhali Tembelea Kurasa zetu za Mitandao ya kijamii

Instagram: @muwsa_moshi. YouTube: MajiMoshi, Twitter: MajiMoshi