Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Kija Limbe akitoa maelezo ya kazi za MUWSA katika kikao cha Madiwani wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi zinazohudumiwa na MUWSA, Watendaji wa Kata, RUWASA Kilimanjaro na Bodi ya Maji Bonde la Pangani tarehe 25.06.2021