Media Centre » News and Events

Mhandisi Kija Limbe Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi

“Niwashukuru sana wananchi wa mji wa Moshi, wamekuwa waungwana sana kwa kutoa taarifa kunapokuwa na tatizo wanatoa taarifa na wanalipa bili kwa wakati.”

Sensa ya Watu na Makazi tarehe 23 Agosti, 2022 ni muhimu kwangu, kwa familia yangu na kwa nchi yangu. Sensa kwa Maendeleo yako na Taifa. Jiandae Kuhesabiwa