Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Kija Limbe akikagua kazi ya kuunga na kulaza bomba kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji katika miradi inayoendelea.