Wajumbe wa kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi, Moshi vijijini,wakifungulia maji wakati walipotembelea kukagua mradi wa maji wa Miwaleni-Njiapanda ambapo umekamilika kwa asilimia 100