Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa Ndugu Rugemalila Rutatina afanya ziara kwenye Ofisi ya chama ha wafanyakazi tawi la TUGHE MUWSA na kufanya mazungumzo na uongozi wa chama pamoja na Menejimenti ya MUWSA.