“Sisi wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) tunaungana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kushiriki sensa ya watu na makazi tarehe 23 Agosti 2022 na kutoa Taarifa sahihi”