Ndugu: Abdalla Shaib Kaim, Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa akizindua mradi wa Majisafi wa Miwaleni - Njiapanda unahudumia wakazi wapatao 24,778 wa Kata ya Njiapanda kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.