Media Centre

WATUMISHI WA IRUWASA WATEMBELEA MUWSA

Ikiwa ni ziara ya mafunzo ya siku mbili ya Watumishi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa(IRUWASA) kwenye ofisi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi(MUWSA),lengo ikiwa ni…

Read More

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi yapanda kutoka Daraja A kwenda daraja AA

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Bodi 25 mpya za Mamlaka za Maji Nchini na kuwataka viongozi wa Sekta ya Maji kuhakikisha wanashirikiana na wadau pamoja na jamii inayowazunguka katika kuhakikisha…

Read More

MUWSA yaanza vyema mwaka mpya wa fedha 2023/2024

Salamu za kuanza mwaka mpya wa fedha mwaka 2023/2024 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi. Mhandisi: Kija Limbe

Read More

Neema yawashukia wakazi wa Kata 12

MUWSA yashusha shehena ya mabomba ya majisafi yatakayoenda kuhudumia katika maeneo ya Kata 12 

Read More