News and Events

MBUNGE WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI PROF PATRICK NDAKIDEMI ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA MAJI KATA YA MABOGINI

Mbunge wa JIMBO La Moshi  Vijijini  Prof Patrick Ndakidemi akiongozana na diwani wa Kata ya Mabogini Dr. Bibiana Massawe, Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini Ramadhan Mahanyu na Mkugenzi wa MUWSA…

Read More

Mhandisi Kija Limbe afanya Kikao na Madiwani wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Kija Limbe akitoa maelezo ya kazi za MUWSA katika kikao cha Madiwani wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi zinazohudumiwa na MUWSA, Watendaji wa Kata, RUWASA Kilimanjaro…

Read More
Kilimanjaro Water Sources

MUWSA becomes top in water service delivery

MOSHI Urban Water and Sanitation Authority (MUWSA ) has been crowned as the best performer in the urban water authorities category for the year 2018/19.It has, accordingly been given and awarded a certificate,…

Read More

MUWSA WAMUOMBA WAZIRI WA MAJI ,PROF MAKAME MBARAWA KUSAIDIA KUKUSANYA MADENI YA MAJI KWA TAASISI ZA SERIKALI

WAFANYAKAZI  wa Malmala ya Majisafi na Usafi wa MAzingira ,Moshi,(MUWSA) wamemuomba Waziri wa Maji ,Prof Makame Mbarawa kusaidia mchakato wa kufuatilia fedha za malimbikizo ya madeni ya maji kwa taasisi…

Read More

Mamlaka ya Maji Safi Mjini MOSHI yawa bora kwa kipindi cha Miaka Minne

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mji wa Moshi (MUWSA), Joyce Msiru, ameiwezesha mamlaka hiyo kuwa bora kati ya mamlaka na jumuiya ya mamlaka za udhibiti wa maji na nishati…

Read More

UGENI KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akizungumza wakati wa ukaribisho wa Madiwani wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi walipotembelea ofisi za mamlaka hiyo.

Read More

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAONGEZA VYANZO VIWILI VYA MAJI

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAONGEZA VYANZO VIWILI VYA MAJI

Read More