News and Events

Salamu za Pongezi kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji

Hongera Mhandisi Cyprian Luhemeja kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza Wizara ya Maji. Tunaahidi kutoa ushirikiano katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

Read More

Muwsa yamaliza kero ya maji, Mbunge akisema ndoa zitapona Moshi

Mradi huo ambao umegharimu Sh2.378 bilioni hadi kukamilika, umetekelezwa na  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (Muwsa) kwa fedha kutoka serikalini na utekelezaji wake umekamilika kwa…

Read More

Sensa kwa Maendeleo ya Taifa Letu

“Sisi wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) tunaungana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kushiriki sensa ya watu na makazi tarehe 23…

Read More

Mhandisi Kija Limbe Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi

“Niwashukuru sana wananchi wa mji wa Moshi, wamekuwa waungwana sana kwa kutoa taarifa kunapokuwa na tatizo wanatoa taarifa na wanalipa bili kwa wakati.”Sensa ya Watu na Makazi tarehe 23 Agosti, 2022 ni…

Read More

MUWSA Mshindi wa Maji Cup League 2022 katika mchezo wa Mpira wa Miguu na Mpira wa Pete.

Maji Cup League 2022.Matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 2 - 0 PANGANI BASINMatokeo ya mchezo wa netball uliopigwa asubuhi ya Leo.MOSHI WSSA 26 - 12 NJORO UNITED

Read More

Kiongozi mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa aipongeza Muwsa mradi wa maji Njiapanda

Moshi.Zaidi ya wananchi 13,734 wa kata ya njia panda na maeneo jirani, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanatarajia kuondokana na adha ya maji safi na salama inayowakabili, baada ya kukamilika kwa mradi…

Read More

UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJISAFI MIWALENI

Mhandisi Kija Limbe amewahakikishia mradi wa majisafi wa Miwaleni - Njiapanda unaenda kufuta tatizo la majisafi kwa wakazi wa njiapanda, aidha amewaomba viongozi kuwa na subiria wakati wa kipindi Cha mpito na…

Read More

ZIARA YA KIKAZI NA KAMATI YA MAENDELEO KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJISAFI MIWALENI

Ziara ya kikazi na kamati ya maendeleo ya kata ya njia panda imetembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa majisafi Miwaleni - njia panda, mradi wenye thamani ya Bilioni 2.3 unaotarajiwa kukamilika ifikapo…

Read More